Wednesday, 24 February 2010

WASIOONA WALALAMIKA

Mwanachama wa chama cha wasioona (ZANAB) Sabra Nassor amesema serikali haiwatendei mema katika kudumisha demokrasia yao ya uchaguzi kwa vile hakuna karatasi maalum za kupigiwa kura kwa watu wa aina hiyo.
Malalamiko hayo aliyatoa jana huko katika ukumbi wa Pemba clove in Tibirinzi chake chake wakati alipokuwa atika mkutano wa majadiliano kuhusu dhima na wajibu wa vyombo vya habari katika kuleta umoja na mshikamano katika demokrasia ya vyama vingi vya siasa.
amesema hivi sasa ni muda mrefu toka kufanyika kwa uchaguzi lakini inawezekana watu wa aina hiyo kuwatumia watu wengine kwa ajili ya kuwapigia kura wakati hawana uhakika kwamba matakwa yao ya uchaguzi yanatekelezwa.
aliendelea kusema kuwa wao kama wananchi wa nchi hii hawana uhakika na kuchaguliwa lakini kuendelea kwa tatizo hilo ni kuwanyima fursa muhimu kwa kutumia watu wengine.

Friday, 12 February 2010

THANKS

This week from monday 8 February up to 12 Friday 12 February 2010, is a good days for me because I leaning many things through Internet. such as to find news from websites,to creat blog, to restore news and picture in may blog.
so I can say I preciete MISA TANZANIA and VIKES FOUNDATION to give ne oportunities to join in this course.

Thursday, 11 February 2010

HISTORIA YA OBAMA

huyu ni Obama


Barack Hussein Obama ambae ni Muamerican wa kwanza mweusi kushika nafasi ya urais nchini Amerika alizaliwa tarehe 4 Agust,1961.
Barack ambae mama yake alikuwa ni Muamerika na baba yake ni Muafrika mweusi kutoka nchini Kenya,aliishi Jakata hadi mwaka 1971 aliporudi marekani kukaa na babu yake huko Hawaii hadi alipomaliza masomo yake Skuli ya Sekondari.
Wakati akiwa amemaliza masomo yake Skuli ya Sekondari Barack Obama alisoma masomo ya siasa na sheria katika vyuo vya Ociedenta loss angeles,Columbia huko New york na baadae chuo kikuu cha Harvard ambapo alitunukiwa shahada ya dokta mwaka 1991 na pia kufanya kazi za kijamii huko Chicago.
Akiwa chicago Rais Obama pia alifanya kazi katika ofisi ya mwanasheria na kufundisha kozi ya sheria katika chuo kikuu cha Chicago.
baada ya kuchaguliwa kuwa seneta wa bunge ilionois mnamo mwaka 1996 hadi 1998.
Obama katika mwaka 2002 hadi 2004 alichaguliwa kuwa seneta wa bunge la kitaifa hadi mwezi february 2007 alipotangaza azima yake ya kutafuta nafasi ya mgombea urais kupitia chama cha kidemokrasia.

february,11,2010

jumatano 11/2/2010
Mafunzo juu ya matumizi ya Internet kwa waandishi wa habari yaliendelea kwa siku ya tatu,ambapo leo tumeweza kujifunza jinsi ya kutafuta habari kwa njia ya internet,na baadae kuweza kuandika pamoja na kuziingiza katika blog,
Vilevile tumeweza kujifunza jinsi ya ku link adresss

abdulrazak gurnahABDULRAZAK GURNAHUnamjua Abdulrazak gurnah.
Abdulrazak gurnah ni Mwalimu katika chuo kikuu cha kent ambae pia ni muhariri wa habari wasafiri.
Abdulrazak gurnah amezaliwa katika kisiwa cha zanzibar,mwambao wa Afica mashariki mnamo mwaka 1948

Wednesday, 10 February 2010

GREEN BELT


Green belt movement

The Green Belt Organization is a non govermmental organization(NGO) which based in Kenya. the works of this organization is to mobilize Community,consciosnes for self deetermination,equity,improved,livelihoods and security,and environmental conservation. it stated in 1997.

Tuesday, 9 February 2010

INTERNET NA WAANDISHI

Waandishi wa habari wapatao ishirini kutoka vyombo mbali mbali vya habari Zanzibar jana walishiki katika mafunzo juu ya matumizi ya Internet katika mawasiliano na jinsi ya kutafuta taarifa kutoka sehemu mbali mbali.,pamoja na kuweza kufungua blog.
mafunzo hayo iliendeshwa chini ya ushttp://www.misa.org/http://www.voanews.com/swahili/chapters/tanzania/misatanzania.htmlimamizi wa misa tanzania