
ABDULRAZAK GURNAH
Unamjua Abdulrazak gurnah.
Abdulrazak gurnah ni Mwalimu katika chuo kikuu cha kent ambae pia ni muhariri wa habari wasafiri.
Abdulrazak gurnah amezaliwa katika kisiwa cha zanzibar,mwambao wa Afica mashariki mnamo mwaka 1948
Waandishi wa habari wapatao ishirini kutoka vyombo mbali mbali vya habari Zanzibar jana walishiki katika mafunzo juu ya matumizi ya Internet katika mawasiliano na jinsi ya kutafuta taarifa kutoka sehemu mbali mbali.
No comments:
Post a Comment