Thursday 11 February 2010

HISTORIA YA OBAMA





huyu ni Obama










Barack Hussein Obama ambae ni Muamerican wa kwanza mweusi kushika nafasi ya urais nchini Amerika alizaliwa tarehe 4 Agust,1961.
Barack ambae mama yake alikuwa ni Muamerika na baba yake ni Muafrika mweusi kutoka nchini Kenya,aliishi Jakata hadi mwaka 1971 aliporudi marekani kukaa na babu yake huko Hawaii hadi alipomaliza masomo yake Skuli ya Sekondari.
Wakati akiwa amemaliza masomo yake Skuli ya Sekondari Barack Obama alisoma masomo ya siasa na sheria katika vyuo vya Ociedenta loss angeles,Columbia huko New york na baadae chuo kikuu cha Harvard ambapo alitunukiwa shahada ya dokta mwaka 1991 na pia kufanya kazi za kijamii huko Chicago.
Akiwa chicago Rais Obama pia alifanya kazi katika ofisi ya mwanasheria na kufundisha kozi ya sheria katika chuo kikuu cha Chicago.
baada ya kuchaguliwa kuwa seneta wa bunge ilionois mnamo mwaka 1996 hadi 1998.
Obama katika mwaka 2002 hadi 2004 alichaguliwa kuwa seneta wa bunge la kitaifa hadi mwezi february 2007 alipotangaza azima yake ya kutafuta nafasi ya mgombea urais kupitia chama cha kidemokrasia.

1 comment:

  1. I like it this really good information.
    I visited several web pages however the audio quality
    for audio songs existing at this website is truly fabulous.
    Vimax asli
    Vimax pills
    Obat perangsang wanita
    Boneka Full Body
    Obat Vimax
    Meizitang Botanical

    ReplyDelete